Matokeo ya Kidato Cha Pili 2025/2026 (NECTA FTNA Results) Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajiwa kutangaza Matokeo ya Kidato Cha Pili 2025/2026, yanayojulikana rasmi kama Form Two National Assessment (FTNA), kwa wanafunzi wote waliofanya mtihani wa upimaji wa kitaifa wa Kidato cha Pili katika shule za sekondari nchini Tanzania. Matokeo haya ni sehemu muhimu ya tathmini ya kitaaluma, yakilenga kupima kiwango cha uelewa wa wanafunzi baada ya miaka miwili ya masomo ya sekondari na kutoa mrejesho muhimu kwa wanafunzi, walimu, wazazi na wadau wengine wa elimu.
Endelea kufuatilia ukurasa huu wa ngombozi.com Ili uwe wakwanza kutazama matokeo ya kitado cha pili 2025-2026 pindi yatakapoachiwa.
Tags New trendingSubscribe Our Newsletter


0 Comment
Post a Comment
Your thoughts and opinions matter. Leave a comment below DO NOT SPAM!