HOT BLAZING (Pan African Music Distributors)

Busu Lasababisha Rick Ross na Jazzma Kuachana Hot Blazing

Best Seller Books

Busu Lasababisha Rick Ross na Jazzma Kuachana Hot Blazing

Busu Lasababisha Rick Ross na Jazzma Kuachana

Rapa maarufu kutoka nchini Marekani "Rick Ross" ameripotiwa kuachana na mpenzi wake "JazzmaKendrick" baada ya kudaiwa kumkwepa alipokuwa akijaribu kumbusu hadharani.....


Tukio hilo ambalo lilitokea kwenye hafla iliyofanyika G7 Rooftop, Hollywood, Florida, siku ya Ijumaa, Agosti 8. Rick na Jazzma waliwasili wakiwa wameshikana mikono, lakini alipoinama kumkiss Jazzma alimtazama kisha akacheka bila kumjibu chochote.


Huku baadhi ya Watu Mtandaoni walidai tabia ya Jazzma inaonyesha kuwa hampendi kweli Rick Ross, ingawa rapa huyo hakuonekana kuelewa hivyo, Ambapo Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika vya burudani vimeripoti kuwa Rick Ross na Jazzma wameachana rasmi.....


Baadhi ya Wadau wameeleza kuwa kuna Wanawake hawapendi kubusu hadharani kabla ya kuwa kwenye uhusiano wa kudumu au ndoa kwa sababu ya hofu ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa.....Mmoja wa watumiaji wa X (Twitter) aliandika ujumbe huu...

 “Kwa kweli namheshimu Jazzma. Mapenzi yaonyeshwe kwa hiari, si kwa shinikizo. Ikiwa hakujisikia vizuri kubusu hadharani, ana haki yake kabisa.”

Subscribe Our Newsletter

avatar
"If you are wondering who I am, ask those who know me, they will tell you better than me."

0 Comment

Post a Comment

Your thoughts and opinions matter. Leave a comment below DO NOT SPAM!

Contact Form

Name

Email *

Message *

Article Top Ads

Parallax Ads

Article Center Ads

Article Bottom Ads