Timu ya Wananchi, Young Africans Sc wamedondosha alama kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kulazimishwa sare tasa katika dimba la Sokoine Mbeya dhidi ya wenyeji Mbeya City Fc.
Kwa matokeo hayo Wananchi wamefikisha pointi 4 baada ya mechi mbili na kukwea mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu bara wakati Purple Nation wakosogea mpaka nafasi ya 7 alama nne baada ya mechi tatu.
Matokeo ya Mwisho ni Yanga Sc 0-0 Mbeya City Fc
Tags new trendingSubscribe Our Newsletter
0 Comment
Post a Comment
Your thoughts and opinions matter. Leave a comment below DO NOT SPAM!