Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha sita leo July 07,2025 Visiwani Zanzibar ambapo kati Watahiniwa wa Shule waliofaulu ni 125,779 sawa na 99.95% ya Watahiniwa wenye matokeo.
Ambapo Dr. Said amesema “Watahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na 0.05%, mwaka 2024 Watahiniwa 103,252 sawa na 99.92% ya Watahiniwa wa Shule walifaulu, hivyo ufaulu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.03% ikilinganishwa na mwaka 2024”
BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2025 - CLICK HERE
Subscribe Our Newsletter
0 Comment
Post a Comment
Your thoughts and opinions matter. Leave a comment below DO NOT SPAM!